NIFANYAJE

Kadi ya Uandishi wa Habari

Tarehe ya Mwisho: 18th Apr 2016

Kitambulisho cha Uandishi wa Habari ni kitambulisho maalum kinachotolewa na Serikali kupitia Idara ya Habari-MAELEZO kwa mwandishi wa habari mwenye sifa za taaluma ya habari ili aweze kufanya kazi zake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zinazoongoza taaluma hiyo. Kitambulisho hiki hutolewa...   Soma zaidi

Namna ya kusajili Gazeti

Tarehe ya Mwisho: 17th Aug 2016

Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976, imetoa fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kusajili gazeti/jarida kwa lengo la kutangazahabari na taarifa zake kwa Umma. MASHARTI • Kuwa na katiba ya chama, kikundi, kampuni, shirika au taasisi. • Cheti...   Soma zaidi

Maombi ya Ukumbi wa Mikutano

Tarehe ya Mwisho: 18th Aug 2016

Idara ya Habari-MAELEZO inatoa huduma za Ukumbi kwa Wananchi, Taasisi za Umma na binafsi kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa Habari ili kufikisha taarifa na habari zao kwa umma. Masharti > Kuwasilisha barua ya maombi ya ukumbi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, S.L.P 8031, Dar es S...   Soma zaidi