Habari

WAZIRI MWAKYEMBE AWAOMBA WADAU WA MCHEZO WA YOGA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU MCHEZO HUO.

Imewekwa : 19th Jun 2017

Wadau wa mchezo wa Yoga nchini wametakiwa kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi ili wapate kuufahamu na kushiriki kwa ajili ya kuimarisha afya zao na kuongeza ufanisi katika kazi zao za kila siku .

Soma zaidi

Wanamichezo Watakiwa Kuzingatia Nidhamu.

Imewekwa : 1st Jun 2017

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wadau wa michezo nchini kuzingatia nidhamu na uvumilivu ili kufikia malengo ya klabu zao.

Soma zaidi

Timu ya JWTZ itayoshiriki Mashindano ya Wakuu wa Majeshi Bujumbura Kutumika Kuboresha Timu za Ndani Nchini.

Imewekwa : 26th May 2017

Wanamichezo watakaoteuliwa kuunda timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambayo itashiriki katika Mashindano ya Michezo ya Wakuu wa Majeshi nchini Burundi watatumika pia katika kuboresha timu mbalimbali ili kusaidia kuibua na kukuza vipaji vya michezo nchini.

Soma zaidi

UWEKEZAJI KWA VIJANA WA SEKONDARI UMEKUA UKILETA MANUFAA KATIKA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

Imewekwa : 26th May 2017

Dhana ya kuwekeza katika sekta ya michezo kwa vijana wadogo wa shule za Sekondari imekua ikileta manufaa makubwa kwa Taifa katika kuzalisha wachezaji mahiri ambao wamekua wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani na nje ya chini.

Soma zaidi