Habari

Serikali kushirikiana na wadau mbalimbali kuhifadhi historia za Kiutamduni nchini.

Imewekwa : 6th Jul 2018

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali waliomstari wa mbele katika kuhifadhi historia ya Utamaduni wa Mtanzania ikwemo tamaduni za makabila.

Soma zaidi

Serikali kuwaenzi Wanamichezo Wakongwe

Imewekwa : 4th Jul 2018

Serikali imeandaa mpango wa kuwaenzi watu mashughuri wakiemo wanamichezo wakongwe ambao wamewahi kuliletea taifa heshima katika mashindano mbalimbali akiwemo mwanariadha Mkongwe Bw. John Steven Akwhari.

Soma zaidi

Naibu Waziri Shonza ametoa wito Kwa Halmashauri kutenga Fedha kuboresha miundo mbinu ya michezo.

Imewekwa : 4th Jul 2018

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ametoa wito kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mjini kuhakikisha wanatengeneza miundo mbinu ya michezo hususani viwanja vya michezo.

Soma zaidi

Tunatambua juhudi zinazofanywa na wadau wa Sanaa nchini- Shonza

Imewekwa : 1st Jul 2018

Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ameeleza kuwa Serikali inatambua juhudi zinazofanywa na wadau mbalimbali katika kutangaza utamaduni wa Mtanzania pamoja na kukuza soko la ajira kupitia kazi za sanaa nchini.

Soma zaidi