Habari

Naibu Waziri Shonza ahidi kusimamia maadili ya Mtanzania

Imewekwa : 17th Oct 2017

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ameahidi kushirikiana na Watendaji wa Wizara, wadau pamoja na wananchi kwa ujumla kusimamia maadili ya Mtanzania ili kuendelea kuwa na taifa bora.

Soma zaidi

Dkt. Harrison Mwakyembe aapa kuwatokomeza Waharamia wa Kazi za Filamu kwa maslahi ya Wasanii na Taifa.

Imewekwa : 11th Oct 2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kuhakikisha kwamba suala la uharamia wa kazi za filamu za Watanzania nchini unakomeshwa

Soma zaidi

Mawaziri na Naibu Waziri Walioapishwa Kuanza Kazi Mara Moja

Imewekwa : 10th Oct 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapishwa Mawaziri saba, Manaibu Waziri 16 wa Wizara mbalimbali pamoja na Katibu mpya wa bunge aliowateua hivi karibuni.

Soma zaidi

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA SHERIA, KANUNI NA MIKATABA YA TASNIA YA FILAMU

Imewekwa : 5th Oct 2017

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa serikali itaendelea kuboresha Sheria, kanuni pamoja na kushirikiana na bodi ya filamu kuandaa mikataba bora itakayoongoza tasnia ya filamu kuwa na mafanikio makubwa ndani na nje ya nchi.

Soma zaidi