Habari

Vijana wa Babati wapata Mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Imewekwa : 17th Jun 2014

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya Mwaka 2007 ili kuweza kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Babati na hivyo kuwa chachu ya maendeleo nchini.

Soma zaidi

IDARA YA VIJANA YAUNGANA NA VIJANA WA KIMASAI KUENDELEA KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA KIMASAI

Imewekwa : 17th Jun 2014

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Venerose Mtenga akitoa hotuba wakati wa Sherehe za unywaji wa maziwa kwa vijana wa kimasai

Soma zaidi

Maafisa Utamaduni waaswa kukusanya Takwimu za Ubunifu wa Sanaa na Utamaduni nchini

Imewekwa : 10th Jun 2014

ukusanyaji wa takwimu za ubunifu wa sanaa na utamaduni litasaidi kwa kiasi kikubwa kujua hali halisi ya sasa ya amali za utamaduni na mustakabali wake wa baadaye kwenye uchumi wa nchi

 

Soma zaidi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Imewekwa : 6th Jun 2014

Wadau mbalimbali wa michezo nchini wameshauriwa kuwekeza katika vyama vya michezo ili kuinua michezo nchini na kuweza kuleta maendeleo ya kweli katika sekta ya Michezo

Soma zaidi