Habari

Wadau wa Filamu waiomba Serikali kuanzisha kiwanda cha kuzalisha DVD tupu na Vifungashio vya kazi za filamu

Imewekwa : 28th Nov 2015

Wadau wa filamu nchini wameiomba Serikali ya awamu ya tano kutoa kipaumbele kwa viwanda vitakavyofufuliwa kuzalisha DVD tupu na vifungashio vya kazi za filamu vyenye kiwango hivyo kuinua sekta ya filamu kwa kasi.

Soma zaidi

Wasambazaji wa Filamu za nje watakiwa kufuata sheria ya Ukaguzi wa Filamu.

Imewekwa : 12th Nov 2015

Wasambazaji wa Filamu za nje wametakiwa kuwasilisha filamu wanazosambaza katika ofisi za Bodi ya Filamu kwa ajili ya ukaguzi mapema ifikapo tarehe 30 mezi huu.

Soma zaidi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo avipongeza Vyombo vya Habari kwa umahiri

Imewekwa : 9th Nov 2015

Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.

Soma zaidi

Vijana washauriwa kuchagua viongozi wazalendo

Imewekwa : 11th Oct 2015

Vijana nchini wameshauriwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kupiga kura na kuchagua viongozi wazalendo wapenda amani na watakaoleta maendeleo ya taifa kwa ujumla ifikia oktoba 25 mwaka huu.

Soma zaidi