Habari

Kamati Kuu ya AFCON yazinduliwa

Imewekwa : 21st Nov 2017

Serikali yazindua Kamati Kuu ya maandalizi ya Africa Cup of Nation Under 17 (AFCON) yenye wajumbe ishirini na tano kwa ajili ya kufanikisha mashindano hayo yatakayofanyika nchini mwaka 2019.

Soma zaidi

Waziri Mwakyembe:Watanzania Jitokezi Kumshangilia Bondia Wetu Ibrahim Class

Imewekwa : 21st Nov 2017

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kumshangilia bondia Ibrahim Class katika pambano lake la kutetea ubingwa wa dunia uzito wa kati na bondia kutoka Afrika ya Kusini Koos Sibiya

Soma zaidi

Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Watakiwa kuzingatia Kanuni na Sheria katika kutekeleza Majukumu

Imewekwa : 21st Nov 2017

Katibu Mkuu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Suzan Mlawi amewataka wafanyakazi wa Wizara hiyo kuzingatia Kanuni Sheria na Utaratibu kwa katika kufanya kazi.

Soma zaidi

Serikali Imeahidi Kushirikiana na Wadau wa Mchezo wa Golf Nchini

Imewekwa : 21st Nov 2017

Serikali imeahidi kushirikiana kwa ukaribu na wadau wa mchezo wa Golf nchini katika kuhakikisha mchezo huo unafundishwa kuanzia ngazi ya chini ili kuandaa wachezaji bora wa kimataifa wataoiwakilisha nchi katika mashindano hayo duniani.

Soma zaidi