Habari

Mikoa kanda ya kati kimbilieni fursa ya kuanzisha vituo vya utangazaji – Nnauye

Imewekwa : 6th Apr 2016

Wakuu wa Mikoa kanda ya kati wametakiwa kuhamasisha halmashauri zao kukimbilia fursa iliyotolewa na mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuanzisha vituo vya utangazaji ili kuweza kuwafikishia wananchi wao taarifa zilizo sahihi.

Soma zaidi

Taasisi za serikali waruhusuni maafisa habari kushiriki katika vikao vya maamuzi- Nnauye

Imewekwa : 5th Apr 2016

Taasisi za serikali zimetakiwa kuwashirikisha maafisa habari waliopo katika taasisi zao katika vikao vya maamuzi ili waweze kua na taarifa na kufahamu maamuzi ya michakato inayoendelea hivyo kupata nguvu na uelewa mzuri wa kwenda kueleza umma pale wanapotakiwa kutolea ufafanuzi.

Soma zaidi

Serikali yahaidi kuboresha usikivu wa shirika la utangazaji la taifa Mikoa ya pembezoni

Imewekwa : 5th Apr 2016

Serikali imeamua kuwekeza kwenye mikoa ya pembezoni kuhakikisha usikivu wa shirika la utangazaji la taifa unakua mkubwa na wakutosha kwa kuweza kusikika katika maeneo yote nchini.

Soma zaidi

Serikali ya awamu ya tano yadhamiria kuifanya Michezo kuwa shughuli rasmi ya kiuchumi

Imewekwa : 3rd Apr 2016

Serikali ya awamu ya tano imelenga kuifanya michezo kuwa shughuli rasmi ya kiuchumi ambayo itampa fursa mtu binafsi kujiajiri na kujiingizia kipato hivyo kutoa nafasi kwa wawekezaji kuwekeza katika michezo jambo ambalo litawezesha michezo kupata pesa, mitaji, kutoa ajira rasmi kwa vijana, na kuiingizia serikali kipato.

Soma zaidi