Habari

Wachezaji Twiga Stars wapewa motisha

Imewekwa : 8th Mar 2016

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetimiza ahadi yake ya kuwapa motisha wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu wanawake “Twiga Stars” kwa kuwapa kila mmoja shilingi Laki tatu taslimu kutokana na kufanikiwa kutikisa nyavu za Zimbabwe licha kutoibuka na ushindi.

Soma zaidi

Serikali yatoa motisha kwa wachezaji wa Twiga Stars

Imewekwa : 1st Mar 2016

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa motisha kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu wanawake(Twiga Stars) ikishinda katika mchezo wake dhidi ya Zimbabwe unatarajiwa kuchezwa siku ya Ijumaa tarehe 4 machi katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Soma zaidi

TBC yapata Bodi Mpya ya Wakurugenzi

Imewekwa : 20th Feb 2016

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kumaliza Muda wake, uundwaji wa Bodi Mpya umekamilika.

Soma zaidi

Nape Nnauye atengua uteuzi wa Katibu Mtendaji Baraza la Michezo la Taifa

Imewekwa : 19th Feb 2016

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ametengua uteuzi wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania Henry Lihaya baada ya kushindwa kutekeleza wajibu wake.

Soma zaidi