Habari

Vijana wametakiwa kutumia mazingira yanayowazunguka kujipatia kipato

Imewekwa : 15th Sep 2015

Vijana wametakiwa kutumia vizuri mazingira wanayowazunguka kuibua mbinu mbalimbali za ujasiriamali ili kuweza kuondoka na taifa tegemezi kwa kusubiri kuajiriwa mara baada ya  kuhitimu masomo yao.

Soma zaidi

Wawezeshaji kitaifa Kanda ya Ziwa watakiwa kuleta mitazamo chanya kwa vijana nchini

Imewekwa : 9th Sep 2015

Wawezeshaji wa Kitaifa wa stadi za maisha wametakiwa kuwasaidia vijana kujitoa katika mitazamo hasi na kuleta mabadiliko chanya katika jamii  kwani vijana ni nguvu kazi ya Taifa letu.

Soma zaidi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

Imewekwa : 13th Aug 2015

Vijana nchini wametakiwa kuwajibika kutafuta taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi na kuzingatia utoaji wa taarifa zilizo sahihi haswa katika kipindi hiki tunapoelekea katika uchaguzi mkuu.

Soma zaidi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Imewekwa : 6th Aug 2015

Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”

Soma zaidi