Habari

Basata yasisitizwa kuwatambua wasanii na kuwaweka katika mfumo rasmi

Imewekwa : 30th Jul 2018

Baraza la Sanaa la Taifa limeagizwa kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha linawafikia wasanii wengi zaidi nchini na ili kuweza kuwatambua na kuwatambulisha kwenye mfumo rasmi.

Soma zaidi

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Bibi.Suzan Mlawi aipokea Kilimanjaro Queens Jijini Dodoma.

Imewekwa : 30th Jul 2018

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake “Kilimanjaro Queens” imerejea nchini ikitokea Rwanda ilipokuwa ikishiriki mashindano ya Afrika Mashariki na Kati maarufu kama CECAFA ambapo imefanikiwa kutwaa Kombe la michuano hiyo.

Soma zaidi

Wadau wa Sekta ya Filamu Mkoani Songwe andaeni filamu za Kiutamaduni

Imewekwa : 20th Jul 2018

Wadau wa sekta ya Filamu Mkoa wa Songwe waelezwa kutumia fursa zilizoko Mkoani hapo ikiwemo uwepo wa maeneo mazuri ya asili naya kiutamaduni kwa ajili ya kuandaa filamu za Kiutamaduni.

Soma zaidi

Makatibu Wakuu kuonyesha uwezo wao wa kusakata kabumbu

Imewekwa : 20th Jul 2018

Makatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali wataonyesha uwezo wao wa kusakata kabumbu siku ya Jumamosi ya tarehe 21 Julai 2018 katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Bonanza la michezo liloandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo.

Soma zaidi