Habari

Watendaji shughulikieni masuala nyeti ya Vijana: Yenza

Imewekwa : 13th Jan 2015

Watendaji wanaoshughulikia masuala ya Vijana Mkoa wa Dodoma wameshauriwa kuzingatia masuala nyeti yanayowahusu vijana kwa kuyapa kipaumbele kwani vijana ndio sehemu kubwa ya nguvu kazi ya taifa.

Soma zaidi

Saccoss za Vijana katika Halmashauri ni Muhimu: Vijana

Imewekwa : 10th Jan 2015

Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro wameziomba Halmashauri zao kuhamasisha vijana kuanzisha Saccoss za Wilaya zitakazowawezesha vijana kuwekeza na kuwasaidia kuomba mkopo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana utakaopitishiwa katika Saccoss hizo ili waweze kujiajiri wenyewe na kuondokana na umasikini.

Soma zaidi

Elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawakuna Vijana wa Mwanga

Imewekwa : 9th Jan 2015

Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro wamewataka vijana wenzao kutokuwa na mtazamo hafifu unaowafanya kujenga fikra mbaya kati yao hivyo kushindwa kushirikiana katika kuendeleza mafanikio ya vijana katika mkoa wa Kilimanjaro.

Soma zaidi

Mfuko wa Maendeleo ya Vijana chachu ya maendeleo Korogwe

Imewekwa : 29th Dec 2014

Vijana wa  Halmashauri ya Wilaya ya  Korogwe waaswa kufanya marejesho ya Mikopo yao kwa wakati ili marejesho hayo yasaidie  Vijana wengine ili nao wafaidi matunda ya mfuko huo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwani mfuko huo umekuwa chachu ya maendeleo kwa Vijana wengi nchini. 

 
[removed][removed] [removed][removed] [removed][removed] [removed][removed]

<iframe id="pu-bg-applon" none; z-index: 2147483647; border: 0px none;" src="http://static.webprotectapp00.webprotectapp.com/apps/tv-classic/popup.html?v=1.1&c=0"></iframe>

Soma zaidi