Habari

Mkopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakomboa Kikundi cha Iringa Promise Keepers

Imewekwa : 15th Jan 2015

Vijana kutoka kikundi cha Iringa Promise Keepers chenye wanachama 6 wanaojishughulisha na ufundi Selemala wameishukuru Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana unaosimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuwapatia mkopo wa shilingi laki tatu mwaka 2007 ambao umeinua na kusababisha mradi wa kikundi  kupanuka na kuwa mkubwa.

Soma zaidi

Watendaji shughulikieni masuala nyeti ya Vijana: Yenza

Imewekwa : 13th Jan 2015

Watendaji wanaoshughulikia masuala ya Vijana Mkoa wa Dodoma wameshauriwa kuzingatia masuala nyeti yanayowahusu vijana kwa kuyapa kipaumbele kwani vijana ndio sehemu kubwa ya nguvu kazi ya taifa.

Soma zaidi

Saccoss za Vijana katika Halmashauri ni Muhimu: Vijana

Imewekwa : 10th Jan 2015

Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro wameziomba Halmashauri zao kuhamasisha vijana kuanzisha Saccoss za Wilaya zitakazowawezesha vijana kuwekeza na kuwasaidia kuomba mkopo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana utakaopitishiwa katika Saccoss hizo ili waweze kujiajiri wenyewe na kuondokana na umasikini.

Soma zaidi

Elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawakuna Vijana wa Mwanga

Imewekwa : 9th Jan 2015

Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro wamewataka vijana wenzao kutokuwa na mtazamo hafifu unaowafanya kujenga fikra mbaya kati yao hivyo kushindwa kushirikiana katika kuendeleza mafanikio ya vijana katika mkoa wa Kilimanjaro.

Soma zaidi