Habari

Startimes wamtembelea waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Imewekwa : 14th May 2014

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akiwa katika kikao na mmiliki wa Kampuni ya Star Media Bw. Pang (wa pili kushoto) alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam.

 

Soma zaidi

Upitiaji wa Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba Wakamilika

Imewekwa : 30th Apr 2014

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za uchaguzi mkuu.

 

Soma zaidi

Habari

Imewekwa : 15th Mar 2014

Mbio za Mwenge wa Uhuru zitazinduliwa Mkoani Kagera katika Uwanja wa Kaitaba  02/05/2014. Mgeni Rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa, Dkt. Mohamed Galib Bilal.

Soma zaidi

Habari

Imewekwa : 13th Mar 2014

Kazi inaendelea...

Soma zaidi