Habari

Naibu Waziri Anastazia Wambura aipongeza TFF, Aitaka izidi kushirikiana na Serikali kuleta Maendeleo ya Soka.

Imewekwa : 18th Sep 2017

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ufanisi wao wa kazi huku akiwataka kufanya kazi kwa ukaribu na Serikali ya Awamu ya Tano ili kuleta maendeleo katika soka.

Soma zaidi

WADAU WA MICHEZO JITOKEZENI KUDHAMINI MCHEZO WA WUSHU; MHE.ANNASTAZIA.

Imewekwa : 18th Sep 2017

Katika uhakikisha mchezo wa WUSHU unakuwa na kutengeneza ajira kwa watu wengi hapa nchini Serikali imeomba wadau kudhamini na kuwekeza katika mchezo huo ili ufahamike kwa kuwa Serikali tayari meandaa mazingira ya kupata wataalamu wa kufundisha mchezo huo.

Soma zaidi

PROF. ELISANTE: AMANI NI URITHI UNAOPASWA KUENDELEZWA AFRIKA.

Imewekwa : 16th Sep 2017

Watanzania wametakiwa kutunza, kulinda na kuimarisha amani na heshima iliyopo nchini kwani amani hiyo huifanya Tanzania iheshimike na Mataifa mengine.

Soma zaidi

Dkt. Harrison Mwakyembe: Tanzania iko Tayari kuwa Mwenyeji wa Tamasha la JAMAFEST 2019.

Imewekwa : 15th Sep 2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamba, Tanzania iko tayari kuwa wenyeji wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki maarufu kama JAMAFEST kwa mwaka 2019.

Soma zaidi