Habari

Makatibu Wakuu kuonyesha uwezo wao wa kusakata kabumbu

Imewekwa : 20th Jul 2018

Makatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali wataonyesha uwezo wao wa kusakata kabumbu siku ya Jumamosi ya tarehe 21 Julai 2018 katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Bonanza la michezo liloandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo.

Soma zaidi

Wananchi wa Dodoma watakiwa kujitokeza na kushiriki Bonanza la Wizara ya Habari

Imewekwa : 18th Jul 2018

Wananchi wa Jiji la Dodoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Bonanza la michezo lililoandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ili kuunga mkono kauli mbiu ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kufanya mazoezi kwa afya.

Soma zaidi

Katibu Mkuu BiBI. Susan Awasihi Wadau wa Filamu Mkoani Manyara kujiunga na Vyuo Vya Sanaa.

Imewekwa : 13th Jul 2018

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi amewasihi wadau wa filamu Mkoani Manyara kujiunga na vyuo vya Sanaa vilivyopo nchini ili kupata mafunzo ya kitaaluma yatakayowasaidia katika kuandaa kazi zao.

Soma zaidi

Serikali Imeendelea kuweka msukumo wa kukuza Sekta ya Filamu Nchini.

Imewekwa : 10th Jul 2018

Serikali imendelea kuweka msukumo wa kukuza Sekta ya filamu nchini,kwa kuendeleza utafiti, ubunifu na teknolojia ikiwemo kujenga mazingira wezeshi kwa wadau wake ili kuleta matokea chanya katika tasnia hiyo .

Soma zaidi