TEHAMA

Kutoa Utaalamu na Huduma kuhusiana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Wizarani.

Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo:-

• Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao;

• Kutengeneza na kuratibu Mifumo ya TEHAMA Wizarani;

• Kuhakisha Kompyuta na program zinawekwa vizuri;

• Kuandaa mahitaji katika ununuzi wa vifaa vya TEHAMA

• Kutengeneza na kusimamia mfumo wa mawasiliano ya baruapepe;

• Kufanya tafiti na kushauri maeneo ya kutumia TEHAMA kama nguzo ya kutoa huduma bora na wakati kwa wananchi.