Taarifa kwa Vyombo vya Habari

KT. MWAKYEMBE AMTEUA ENG.DKT RICHARD MASIKA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA MICHEZO MALYA.

Tarehe ya Kutolewa : Apr, 16 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amemteua Eng. Dkt. Richard Joseph Masika kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha michezo malya.

Pakua


TAARIFA KWA UMMA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 28 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), amekutana na msanii nyota wa Tanzania Nassibu Abdul Juma (Diamond) kwa lengo la kurejesha maelewano kwenye tasnia ya Sanaa ya Muziki nchini kufuatia hatua zinazoc...

Pakua faili Zima Pakua

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 27 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (Mb) ametangaza rasmi kanuni mbili za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya Sura namba 306 ya mwaka 2010, katika gazeti la Serikali namba 133 (GN.No.133)...

Pakua faili Zima Pakua

TANZIA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 23 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya wanawake (JKT Queens) Bi. Yvonn...

Pakua faili Zima Pakua

Dkt. Mwakyembe asikitishwa na kauli za Msanii Naseeb Abdul,(Diamond).

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 21 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amesikitishwa na kauli zilizotolewa na mwanamuziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul (Diamond) wakati akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha PlayList Bw. Oma...

Pakua faili Zima Pakua