Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BONANZA LA MICHEZO DODOMA

Tarehe ya Kutolewa : Jul, 18 2018

Wizara ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo imeandaa Bonanza la michezo lenye kauli mbiu ya “Karibu Jiji la Dodoma, Michezo ni Afya”, litakalofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 21 Julai,2018 kuanzia saa 12 asubuhi.

Pakua faili Zima Pakua

TANZIA

Tarehe ya Kutolewa : Jun, 6 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanasana...

Pakua faili Zima Pakua

KT. MWAKYEMBE AMTEUA ENG.DKT RICHARD MASIKA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA MICHEZO MALYA.

Tarehe ya Kutolewa : Apr, 16 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amemteua Eng. Dkt. Richard Joseph Masika kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha michezo malya.

Pakua


TAARIFA KWA UMMA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 28 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), amekutana na msanii nyota wa Tanzania Nassibu Abdul Juma (Diamond) kwa lengo la kurejesha maelewano kwenye tasnia ya Sanaa ya Muziki nchini kufuatia hatua zinazoc...

Pakua faili Zima Pakua

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 27 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (Mb) ametangaza rasmi kanuni mbili za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya Sura namba 306 ya mwaka 2010, katika gazeti la Serikali namba 133 (GN.No.133)...

Pakua faili Zima Pakua