Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 27 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (Mb) ametangaza rasmi kanuni mbili za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya Sura namba 306 ya mwaka 2010, katika gazeti la Serikali namba 133 (GN.No.133)...

Pakua faili Zima Pakua

TANZIA

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 23 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya wanawake (JKT Queens) Bi. Yvonn...

Pakua faili Zima Pakua

Dkt. Mwakyembe asikitishwa na kauli za Msanii Naseeb Abdul,(Diamond).

Tarehe ya Kutolewa : Mar, 21 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amesikitishwa na kauli zilizotolewa na mwanamuziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul (Diamond) wakati akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha PlayList Bw. Oma...

Pakua faili Zima Pakua

TANZIA

Tarehe ya Kutolewa : Feb, 12 2018

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mshairi Nguli Bw. Said Ghaidy Mohamed kilichotokea usiku wa kuamkia Februari 05, 2018 Mkoani Morogoro.

Pakua faili Zima Pakua

TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA BAKITA

Tarehe ya Kutolewa : Feb, 12 2018

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Kiswahili la Taifa ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na muundo wa shughuli za Baraza (Provisions of the Schedule t...

Pakua faili Zima Pakua