Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TANGAZO-BAKITA

Tarehe ya Kutolewa : Nov, 3 2016

TANGAZO KWA UMMA

MAFUNZO YA KISWAHILI KWA WAGENI

Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) linapenda kuutangazia umma kuwa, linaendelea kutoa mafunzo ya Kiwango cha Awali ya Kiswahili kwa wageni. Kozi ya Mafunzo haya inafanyika kwa muda...

Pakua faili Zima Pakua